Ila, wakati janga lime ahirisha mafunzo yakuogelea kwa muda mrefu kuliko ilivyo tarajiwa katika mwaka mzima wa 2021, inahofiwa baadhi ya watoto wako katika hatari ya ajali.
Msimu wa majira ya joto wa hatari watabiriwa wakati watoto wanakosa mafunzo mhimu yakuogelea

A group of kids are attending a swimming class. They are practicing kicking at the side of the pool. Source: Getty
Wa Australia wanatazamia msimu wa majira ya joto, kuwa nje na ndani ya maji baada ya mwaka ulio husu kuingia nakutoka ndani ya vizuizi.
Share