Mwenda afunguka kuhusu mapokezi ya bidhaa kutoka Kenya nchini Australia

Bw Mwenda (kulia) akiwa mbele ya banda lake kwenye tamasha ya Africultures Festival 2022, mjini Sydney, New South Wales.

Bw Mwenda (kulia) akiwa mbele ya banda lake kwenye tamasha ya Africultures Festival 2022, mjini Sydney, New South Wales. Source: SBS Swahili

Ni takriban miaka mbili, tangu tamasha ya mwisho ya Africultures Festival ilipo andaliwa mjini Sydney, New South Wales.


Moja ya madhara ya hatua zakudhibiti maambukizi ya virusi vya UVIKO-19, ambazo serikali na mamlaka husika ziliweka ni kwamba matukio kama hayo ya Africultures Festival yali ahirishwa kwa zaidi ya miaka mbili kote jimboni New South Wales.

Ila, baada ya mamlaka kuondoa vizuizi hivyo, waandalizi wa tamasha hiyo walituma mwaliko kwa jamii ihudhurie tamasha hiyo tena. Na kama ilivyo kawaida katika tamasha hiyo, wamiliki wa bidhaa mbali mbali hukodi vibanda nakuandika bidhaa zao katika mabanda waliyo kodi kwa ili wateja na watakao hudhuria tamasha hiyo wapate fursa yaku tazama bidhaa hizo na hata kununua vinavyo wavutia.

SBS Swahili ilitembelea kibanda cha Afro Jewelery, ambako mmiliki wa kibanda hicho Bw Mwenda alifunguka kuhusu bidhaa alizo kuwa aki uza pamoja na utaratibu waku agiza bidhaa hizo kutoka Kenya hadi zinapo wasili Australia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service