Zaidi ya idadi ya watu milioni tano, wame pewa uraia wa Australia tangu mwaka wa 1949.
Hatua muhimu ni sherehe ambako, watu hula kiapo cha uaminifu, pamoja nakukubali haki na wajibu wakuwa raia wa Australia.

Wahamiaji wala kiapo cha uraia wa Australia Source: SBS
Zaidi ya idadi ya watu milioni tano, wame pewa uraia wa Australia tangu mwaka wa 1949.

SBS World News