Waasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.
Wakati huo huo imeripotiwa kundi hilo linasonga mbele kuelekea mji mkuu mwingine wa mkoa, hofu ya machafuko zaidi inazidi kuongezeka.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.





