Mbunge Michael McCormack mwenye umri wa miaka 53 kutoka eneo bunge la Riverina, Kusini Magharibi NSW.
Ila katika hatua ya kushtukiza, Bw McCormack alipata ushindi wake baada yaku kabiliana na ushindani toka kwa mbunge kutoka Queensland George Christensen.
Share






