Nava"Hii hasara yote tume pata nani ata lipa?

Makatazo yasababisha mitaa ya mji wa Sydney kusalia mitupu.

Makatazo yasababisha mitaa ya mji wa Sydney kusalia mitupu. Source: Getty

Wakaaji wa maeneo ya jiji ya Sydney, wame ingia katika wiki ya tatu ya makatazo ya kukabiliana na usambaaji wa virusi vya COVID-19.


Sehemu moja ya jamii ambayo ime kumbwa zaidi na madhara ya makatazo hayo, ni wajasiriamali ndani ya jamii, ambao wame weka wazi changamoto wanazo kabiliana nazo wakati huu wa makatazo.

Bi Nava ni mjasiriamali katika kitongoji cha Fairfield jimboni New South Wales, yeye ni miongoni mwa maelfu ya wajasiriamali ambao ongozeko ya vurusi vya COVID-19 ndani ya jamii imesababisha biashara zao zifungwe kwa muda, mamlaka waki jaribu kudhibiti usambaaji wa virusi hivyo ndani ya jamii.

Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS Bi Nava, alifafanua jinsi makatazo hayo yame athiri biashara yake na hasara ambazo amepata. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service