Wanawake nchini Australia sasa wata subiri muda wa miaka mitano kufanya mitihani ya saratani ya kizazi, hii ni baada ya uzinduzi wa kampeni mpya ya mpango wa uchunguzi waki taifa.
Vipimo hivyo vipya vita tumiwa badala ya vipimo vya zamani almaarufu pap smears, na inatarajiwa vita punguza idadi ya vifo kupitia ugonjwa huo kwa 20%.
Share






