Ni mbinu gani bora yakupasha joto nyumba yako nchini Australia?

Mwanamke atumia kipasha joto ndani ya nyumba

Mwanamke atumia kipasha joto ndani ya nyumba. Source: Getty images

Kuchagua mfumo sahihi wakupasha joto katika nyumba yako, huwa rahisi unapojua vifaa ambavyo vipo.


Na kama hauwezi badili vifaa ambavyo vime wekwa ndani ya nyumba yako tayari, daima kuna namna yakuboresha upatikanaji wa nishati na ufanisi wa gharama.

Haijalishi chaguzi gani la kupasha joto unachagua, usalama unastahili kuwa mhimu. Kulingana na shirika la moto na uokoaji la NSW, miezi ya baridi huwa na ongezeko la 10% katika idadi ya moto nyumbani, mioto mingi ikiwa ndani ya vyumba na sebuleni kwa sababu ya vipasha joto pamoja na blanketi zaki elektroniki.

Mamlaka wameonya usiwahi tumia vifaa vyovyote vyakupasha joto nje, au vifaa vyakupikia ndani ya nyumba yako, vifaa vinavyo tumia joto la shanga, makaa au LPG kama mafuta. Na daima, zingatia mapendekezo ya wazalishaji kabla utumie kifaa hicho.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service