Nicky Boit ndiye Mkurugenzi wa Matukio, katika shirika la Taunet Nelel Melbourne.
Katika mahojiano na SBS Swahili, alifunguka kuhusu baadhi ya miradi ambayo uongozi wa shirika lake umefanya. Bw Boit alizungumzia pia maandalizi ya michuano ya michezo ambayo wanachama wa Taunet Nelel watashiriki pamoja na wageni walio alikwa kutoka majimbo mengine ya Australia.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.








