Noah: 'Tunajivunia mafanikio ya kijana wetu Bruce Kamau'

Bruce Kamau mchezaji wa Western Sydney Wanderers FC

Bruce Kamau mchezaji wa Western Sydney Wanderers FC Source: Getty Images

Jamii yawakenya imesambaa katika majimbo yote nchini Australia, na inasifa yakuwa na wanachama ambao ni viongozi katika taaluma zao.


Bw Noah ni mhitimu anaye ishi mjini Adelaide ambako mwafrika wa kwanza mweusi, Bi Lucy Gichuhi alichaguliwa kuwa Seneta katika bunge la Australia.

Bruce Kamau ni mkenya aliyekuwia mjini Adelaide na amepata mafanikio mengi katika mchezo wa mpira wa miguu nchini Australia, na amekuwa mfano wakuigwa na watoto pamoja na vijana wengi katika jamii yawa Afrika wanao Australia. Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bw Noah alifunguka kuhusu fahari ambayo mafanikio ya Bruce imewapa wakenya wanao ishi Adelaide.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Noah: 'Tunajivunia mafanikio ya kijana wetu Bruce Kamau' | SBS Swahili