NSW yaregeza vizuizi kampeni mpya ya chanjo ikizinduliwa

Serikali ya shirikisho yatoa kampeni ya taarifa ya chanjo ya Pfizer ya COVID-19

Serikali ya shirikisho yatoa kampeni ya taarifa ya chanjo ya Pfizer ya COVID-19 Source: Supplied

Kuanzia Ijumaa tarehe 29 Januari, vizuizi vya COVID-19 viliregezwa katika jimbo la New South Wales, baada ya milipuko kadhaa ya virusi hivyo kudhibitiwa.


Taarifa hiyo ime jiri baada yakuzinduliwa kwa kampeni, kuhusu utoaji wa chanjo ya COVID-19.

Wakati huo huo, usafiri bila mahitaji ya karantini kutoko New Zealand kuja nchini Australia, utasitishwa hadi alhamisi ijayo, hatua ambayo imekosolewa na waziri mkuu wa NZ Jacinda Ardern. Bi Ardern ame mweleza waziri mkuu wa Australia Scott Morrison kwamba, amesikitishwa na uamuzi huo, akiongezea kwamba ana amini hali nchini New Zealand imedhibitiwa na anazingatia kufanya mpango wa usafiri na majimbo ya Tasman, badala yakuwa na maafikiano yakitaifa.

Hatua yakusitisha usafiri huo kwa muda, umejiri baada ya mwanamke nchihi New Zealand kupatwa na kirusi ambukizi kutoka Afrika Kusini. Kwa hatua za afya na misaada ambayo ipo kwa sasa, katika jibu la janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service