Wakaaji katika kanda ya Wollongong wamejipata chini ya makatazo na vizuizi vyaku kabiliana na usambaaji wa COVID-19, baada ya ongezeko ya kesi hizo katika maeneo ya Sydney jimboni New South Wales.
Kujua jinsi amri ya mamlaka imepokewa na wakaaji wa Wollongong, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na Bw Pasi ambaye aliweka wazi hisia zawakaaji wenza wa Wollongong, kwa amri ya makatazo na hatua zingine zakudhibiti usambaaji wa virusi hivyo vya COVID-19.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






