Ahadi namatangazo ya wanasiasa kabla yakutangazwa kwa Bajeti ya 2019

Kiongozi wa upinzani Bill Shorten azungumza na wafanyakazi mjini Melbourne Source: AAP
Kupunguza bei ya umeme kwa idadi ya takriban wa Australia milioni nne wenye mapato ya chini, imeibuka kama moja ya hoja kuu ya mweka hazina Josh Frydenberg kwa wapiga kura, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho jumanne ijayo.
Share