Wanasiasa wakutana kujadili ongezeko la watu nchini

Msongamano wa watu mtaani

Msongamano wa watu mtaani Source: AAP Image/Dean Lewins

Serikali ya shirikisho imekutana na weka hazina wamajimbo na mikoa, kujaribu kusaidia kutatua tatizo la kusimamia idadi ya watu nchini Australia.


Ni swala muhimu ila, ni hoja ambayo nika inamaswali mengi sawa vile ina majibu mengi pia.

Wakati hata serikali ya shirikisho ikiwa na uwekezaji mdogo na, mahitaji ya uhamiaji ya serikali za majimbo na mikoa ikitarajiwa kuendelea, ni ubishi ambao unatarajiwa kuendelea kwa muda mrefu.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Wanasiasa wakutana kujadili ongezeko la watu nchini | SBS Swahili