Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.
Profesa Chacha Nyaogoti Chacha ni mtaalam wa diplomasia barani Afrika, katika mahojiano na SBS Swahili alizungumzia uhusiano kati ya China na nchi za bara la Afrika.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.





