Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"

Rais Paul Kagame (kushoto) wa Rwanda azungumza na Rais Felix Tshisekedi (kulia) wa DR Congo.

Rais Paul Kagame (kushoto) wa Rwanda azungumza na Rais Felix Tshisekedi (kulia) wa DR Congo. Credit: DR Congo press office

Maelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.


Kando na upungufu wa chakula, hali ya usalama ina endelea kuwa mbaya wakaazi waki kosa uhakika wa hatma yao kwa sababu ya mapigano.

Profesa Chacha Nyaigotti-Chacha ni mtaalam wa diplomasia katika ukanda wa Afrika Mashariki. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu baadhi ya suluhu kwa mgogoro kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rwanda na DR Congo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service