Vikundi vya wa hamiaji vime sema vime pewa hofu na pendekezo mpya ya sharia, ambayo ita fanya wahamiaji wasuburi muda mrefu zaidi kufuzu kupokea malipo ya mafao.
Serikali ya shirikisho ime wasilisha mswada bungeni, unao pendekeza mwaka mmoja wa ziada kufuzu kupokea mafao hayo.
Iwapo pendekezo la mageuzi hayo yaliyo pendekezwa, yata pitishwa bungeni, yata wa athiri wahamiaji wapya kuanzia Julai mosi mwaka huu wa 2018.
Share






