Waadhibiwe wanaovunja sheria, badala ya jamii nzima

Baadhi ya viongozi wa jamii zawa Afrika pamoja na polisi wa Victoria wakizungumza na vyombo vya habari mjini Melbourne, Victoria

Baadhi ya viongozi wa jamii zawa Afrika pamoja na polisi wa Victoria wakizungumza na vyombo vya habari mjini Melbourne, Victoria Source: AAP

SBS Swahili imezungumza na kiongozi mmoja kutoka jammy ya Waafrika wanaoishi Melbourne, kuhusu madai ya waziri wa mambo ya ndani Peter Dutton kuwa, wakazi wa Melbourne wanaogopa kutoka usiku kwa sababu ya magenge ya vijana wenye asili ya Afrika. Kiongozi huyo amefunguka kuhusu madhara ya madai ya waziri huyo kwa jamii pana ya Waafrika.



Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service