Baada ya wiki za maandamano na shinikizo kali kutoka vyama vya upanzani, Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo ametangaza kuwa ana achana na nia yake yakusalia madarakani kwa miaka mbili ijayo.
Na nchini Kenya, Rais Uhuru Kenyatta amelegeza baadhi ya masharti ya COVID-19 katika kaunti tano nchini humo.
Mwandishi wetu Jason Nyakundi ana taarifa zaidi kutoka mjini Nairobi, Kenya.
Share






