Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, mtaalam wa maswala ya usalama barani Afrika Richard Tuta, aliweka wazi kinacho kwamisha maendeleo ya baadhi ya nchi za Afrika.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






