Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Bi Rosemary alifunguka kuhusu kazi yake yakujitolea ya uanaharakati, changamoto anazo kabiliana nazo, na baadhi ya mafanikio aliyopata kupitia miradi anayo ongoza.
Rosemary Kariuki afunguka kuhusu changamoto za uanaharakati

Rosemary Kariuki akiwa ofisini Source: SBS Swahili
Rosemary Kariuki ni mwanaharakati maarufu jimboni New South Wales, na watu wengi katika jamii wamefaidi kupitia juhudi zake.
Share