Mnamo Mei, wanawake 11 na watoto 21 wali wasili nchini Australia kutoka Syria.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Walilakiwa kwa msisimko na vyombo vya habari... na maoni mengi.
Ungewajua kama ‘Wake wa ISIS’ na watoto wao, kwani wanadaiwa kuhusishwa na kundi linalojiita Islamic State. Wanawake na watoto hao walikuwa wameshikiliwa katika kambi ya kizuizini ya al-Roj kaskazini mwa Syria tangu 2019, wakati kundi la ISIS lilipoanguka.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






