Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Makala kuhusu upinzani wa baadhi ya biashara kwa likizo ya umma kuomboleza kifo cha Malkia wa Uingereza. Kuna makala pia kuhusu umuhimu wa Ufalme wa Uingereza kwa Australia yakisasa.
- Mahojiano na wakenya katika siku yakuapishwa kwa rais wao wa tano Dr William Ruto.
- Uchambuzi wa makala ya michezo nchini na kimataifa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.