Unaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, mubashara kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Taarifa kuhusu mada, zitakazo tawala wiki ya pili ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Australia.
Mahojiano na mfanyabiashara mwenye asili ya Tanzania anaye ishi Australia, kuhusu manufaa ya kukaribishwa kwa Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






