Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Makala kuhusu jinsi mizio inavyo dhibitiwa katika shule za Australia.
- Mahojiano na Bw Jeson Nyakundi kuhusu hatua ya mrengo wakisiasa wa Azimio One Kenya, kuwasilisha ombi laku batilisha uteuzi wa Dr William Ruto katika mahakama ya Upeo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.