Katika makala haya kuna:
- Taarifa mpya za habari za Australia, na kutoka kanda za Afrika Mashariki na Kati.
- Makala kuhusu shinikizo ambalo serikali ya shirikisho inakabili kukabiliana na ongezeko ya gharama ya maisha nchini Australia.
- Makala kuhusu uamuzi wa mahakama ya upeo ya Kenya, kuidhinisha ushindi wa Dr William Ruto.
- Uchambuzi wa makala ya michezo nchini na kimataifa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.