Unaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa kumi na mbili na saa moja kila usiku wa Jumanne bila matangazo au miziki.
Katika makala ya leo kuna:
Taarifa mpya za habari
Taarifa mpya kutoka sehemu kadhaa za bara la Afrika, kutoka studio zetu za Nairobi, Kenya.
Makala kuhusu umuhimu wakuwa na ujuzi wakuogelea nchini Australia.
Makala kuhusu kifo cha ghafla cha gwiji wa mchezo wa Cricket wa Australia
Na uchambuzi wa michezo nchini Australia na kimataifa.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






