Watu nchini Australia hujibu maswali kadhaa kuhusu umri, tamaduni, dini, ukoo, elimu yao na kadhalika, katika sensa ya taifa kila miaka mitano.
Agosti 10 ni usiku wa sensa, na data itakayo kusanywa miongoni mwa watu milioni 25 itasaidia serikali, biashara na vikundi vya jamii kufanya maamuzi ya busara kuhusu miundombinu na huduma zawa Australia.
Kwa taarifa katika lugha yako kuhusu sensa, tembelea tovuti ya sensa ya 2021 Census website.
Share






