Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia

Diversity is our strength, says Albanese (AAP)

Prime Minister Anthony Albanese during Question Time in the House of Representatives at Parliament House in Canberra, Monday, September 1, 2025. (AAP Image/Mick Tsikas) NO ARCHIVING Source: AAP / MICK TSIKAS/AAPIMAGE

Wanasiasa wame laani ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni iliyo onyeshwa katika maandamano kadhaa dhidi ya uhamiaji wikiendi iliyo pita.


Baada ya makabiliano makali ya vurugu na uwepo mkubwa wa kundi lawa Nazi, chama cha Greens kina iomba serikali ishughulikie kwa haraka, ukuaji wa makundi ya mrengo wakulia yenye misimamo mikali nchini Australia.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia | SBS Swahili