Serikali ya mseto inapigana vita kutoka pande zote, joto la mivutano yauongozi ikiendelea kuongezeka na, muswada wa ubaguzi wakidini unao pendelewa na serikali ukiwa mashakani.
Serikali ya mseto yapambana na vita kutoka pande zote, vikao vya bunge la taifa vikianza

Wabunge washiriki katika kikao cha bunge la taifa, chini ya sheria zawatu kujitenga mita tatu mjini Canberra, ACT. Source: AAP
Bunge la shirikisho lime anza viako leo Juma nne, 8 Feb ila, haitakuwa kurejea kwa utulivu kwa biashara yakutunga sheria.
Share