Serikali yafanyia mageuzi mtihani wa uraia

Wanao omba uraia wa Australia, watajibu maswali mapya kuhusu maadili ya Australia katika mtihani wa uraia

Wanao omba uraia wa Australia, watajibu maswali mapya kuhusu maadili ya Australia, katika mtihani wa uraia Source: AAP Image/Dan Peled

Mtihani wa uraia wa Australia unafanyiwa mageuzi ya kwanza katika muongo, mtazamo mpya ukiwekwa kwa maadili ya Australia katika mtihani huo.


Kwa sasa itawabidi raia watarajiwa, wajifunze kuhusu uhuru wakusema nakujieleza, umuhimu wa demokrasia, pamoja na usawa wa fursa.

Mohammad Al-Khafaji ndiye mkurugenzi mkuu wa shirika linalo wakilisha jamii zenye tamaduni tofauti nchini Australia, linajulikana kwa ufupi kama ((FECCA)). Amesema kuwa kuna takriban maombi 150,000 ambayo yame wasilishwa ya uraia, na muda wastan wakusubiri jibu ni takriban miaka mbili.

Ameongezea kuwa hali hiyo haikubaliki na muda huo wakusubiri unastahili punguzwa, kwa ajili yakuwapa wa Australia watarajiwa uhakika. Mtihani huo mpya, uta anza tumiwa kuanzia katikati ya Novemba 2020.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service