Mwongozo wa Makazi: Haki za watoto nchini Australia

Msichana achora ndani ya daftari

Msichana achora ndani ya daftari Source: Getty Images

Zaidi ya idadi ya watoto milioni tano nchini Australia, wana umri wa chini ya miaka 18.


Chini ya mkataba wa shirika la umoja wa mataifa kwa haki za watoto, watoto wote wanapashwa kuwa na haki sawa, kukuwa nakupata elimu, matibabu nakuwa salama.

Hata hivyo, vikundi vya watetezi wa watoto vina amini kuwa Australia, bado ina safari ndefu katika swala hilo.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu haki za watoto nchini Australia, tafuta ushauri kutoka kwa kituo cha msaada wa sheria unako ishi. Kwa msaada wakihemko, wasiliana na shirika la Kidsline katika namba hii: 1800 55 1800, Lifeline 13 11 14, au pigia simu namba ya dharura 000 kama wewe au mtu unaye jua yuko hatarini.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Mwongozo wa Makazi: Haki za watoto nchini Australia | SBS Swahili