Tunaweza tusisikie kuhusu unyanyasaji wa wazee mara kwa mara lakini serikaliinaamini kuwa hadi asilimia umi ya wazee wa Australia wanahangaika na unyanyasaji kila mwaka.
Mara nyingi ni vigumu kwa Wazee kutoka jamii zawa hamiaji, ambao wanakutana na vikwazo zaidi likija swala la kutoa taarifa za unyanyasaji.
Hata hivyo, kuna njia za kupata msaada
Share





