Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Australia unaonesha kuwa watu walio katika umri wa kati ya miaka 20 ndio wana uwezekano mkubwa wa kutalikiana wakifuatiwa na walio katika umri wa mwishoni mwa miaka 40.
Na wale wanaotalikiana kwa kawaida walikua wameoana kwa miaka tisa au chini ya hapo
Iwapo unazingatia kufanya talaka, tembelea tovuti ya msaada wakisheria wa taifa, (www.nationallegalaid.org) ambako utapata taarifa kuhusu jinsi unaweza pata ushauri wakisheria bila malipo katika jimbo na kanda unakoishi.
Share






