Kuendesha gari ni ujuzi muhimu wa kukusaidia kuishi nchini Australia.
Utaratibu na muda unaohitajika ili kupata leseni ya udereva unatofautiana katika kila jimbo na wilaya.
Madereva wadogo kwa kawaida huhitajika muda mrefu kupata leseni zao, wakati madereva wakubwa au wale walio na leseni ya nje ya nchi wanaweza mara nyingi kuharakisha mchakato.
Share






