Wengi wetu tuta chukua fursa kuwa nje kwenye wikendi na wakati wa likizo za shule, kujumuika katika michezo nje, ufukweni, kwenye bustani na hata mbugani wakati wa majira ya joto.
Hatakama ni njia nzuri yaku jua nchi yetu, kuna tahadhari kadhaa ambazo unastahili chukua ili ubaki salama.
Baki salama wakati wa majira ya joto, na kama una familia wanao kutembelea kutoka ng'ambo, hakikisha unachangia taarifa hii nao, ili waweze kuwa na wakati mzuri nchini Australia.
Share






