Mwongozo wa makazi: Jinsi ya kupiga kura Australia

Australia's political system

How to vote in Australian political system Source: SBS

Waustralia wanaelekea kwenye uchaguzi ili kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa shirikisho ...


Upigaji kura ni lazima kwa wananchi wote wanaostahiki wenye umri zaidi ya miaka 18. 


Wapiga kura wanapaswa kujiunga na Tume ya Uchaguzi ya Australia.

Mara baada ya kusajiliwa, lazima kupiga kura ili kuepuka adhabu. FRANK MTAO  ana muongozo wa haraka juu ya jinsi ya kupiga kura.  




Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service