Hata hivyo, viwango vya chanjo na sera zake zina tofautiana katika mikoa nama jimbo nchini.
Wataalam wame toa wito pawe mkakati wa chanjo kitaifa. Kwa taarifa ya ziada kuhusu masharti ya serikali ya Australia kwa swala la chanjo, tembelea tovuti ya: humanservices.gov.au/immunisation.
Kwa taarifa ya ziada kuhusu msaada na huduma kwa watu kutoka jamii ambazo kiingereza si lugha yao ya kwanza, pigia simu shirika ambalo hutoa huduma kwa lugha tofauti kwa simu kwa namba hii: 131 202 au tembelea tovuti ifuatayo: humanservices.gov.au/yourlanguage.