Mwongozo wa makazi: Usalama wa watoto mtandaoni

Usalama mtandaoni kwa watoto

Watoto wame hamasishwa kucheza michezo ya kompyuta shuleni, ili wajifunze jinsi yakukabiliana na tisho za mtandaoni Source: e-safety commissioner website

Pamoja na vijana kuwa na uwezo wa teknolojia zaidi kuliko hapo awali, ni muhimu kwa watu wazima wanaowazunguka kufanya vitu sahihi ili kuwaweka salama


Je unaweza fanya nini ili kuhakikisha watoto wako wanapata uzoefu mzuri kwenye mtandao?

Tovuti ya tume ya eSafety , esafety.gov.au pia ni mahali pazuri kupata taarifa juu ya usalama mitandaoni na vidokezo vya kuanza mazungumzo na mtoto wako, vinapatikana katika lugha nyingi.

Usalama mtandaoni unaonyeshwa kwenye safu mpya ya maigizo ya SBS ya The Hunting unaochunguza jinsi vijana wanavyopitia ugumu wa uhusiano, utambulisho na ujinsia kupitia teknolojia. Mara ya kwanza itaonyeshwa siku ya Alhamisi, tarehe 1 Agosti saa 8.30 jioni kwenye SBS na kwenye mtandao wa uhifadhi yaani On Demand.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Mwongozo wa makazi: Usalama wa watoto mtandaoni | SBS Swahili