Mwongozo wa Makazi: Maisha katika kanda ya Australia

Mji wakanda ya Australia

Biashara inadorora katika miji yakikanda ya Australia. Source: SBS News

Karibu wahamiaji wote wapya walifikia mjini Melbourne na Sydney mwaka jana, wakati maeneo yakikanda ya Australia, yanakabiliwa kwa wakati mgumu kwa sababu yakupungua kwa idadi ya watu.


Serikali ya Australia inawapa wahamiaji wapya fursa zakupata makazi yakudumu, iwapo wata ishi katika maeneo yakikanda kwa miaka minne.

Tazama makala maalum ya runinga ya SBS kwa jina la Struggle Street kujifunga changamoto za baadhi ya jamii za kanda ya australia, ambazo zina kabiliana na umasikini.

Msimu wa tatu wa Struggle Street utaanza kupeperushwa jumatano tarehe 9 kuanzia saa mbili unusu katika runinga ya SBS. Makala hayo yataendelea kila wiki jumatano. Unaweza pata makala hayo kwenye mtandao wa SBS On Demand, baada yakupeperushwa.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service