Mwongozo wa Makazi: Wahamiaji wanao fanya kazi Australia, wana haki sawa na raia wote

Mhudumu ndani ya mgahawa

Mhudumu ndani ya mgahawa Source: Pixabay

Mara nyingi huwa tunasikia taarifa za habari kuhusu waajiri ambao hawalipi wafanyakazi wao ipasavyo, kama ni wafanyakazi ndani ya migahawa au hata wanao fanya kazi katika biashara za reja reja.


Kama mfanyakazi, unahaki ambazo ni wazi kwa swala la malipo, masharti na usalama.

Kuna mbinu rahisi zaku ripoti iwapo haki hizo hazi heshimiwi. Kwa maelezo ya ziada kuhusu makala haya, tembelea tovuti ifuatayo: safworkaustralia.gov.au utapata taarifa kuhusu mamlaka inayo simamia usalama wa kazini katika jimbo au mkao unako ishi.

Unaweza pokea msaada wa wakalimani kupitia shirika la TIS kuzungumza na mamlaka husika.

Viungo muhimu:

Fair Work Ombudsman <https://www.fairwork.gov.au/>

Fair Work Ombudsman in 31 languages <https://www.fairwork.gov.au/language-help>


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service