Mwongozo wa makazi: Wiki ya wakimbizi 2018

Pemba na wafanyakazi wenza wa zamani ndani ya mgahawa wa Harmony on Carmody Cafe

Pemba na wafanyakazi wenza wa zamani ndani ya mgahawa wa Harmony on Carmody Cafe Source: Amy Chien-Yu Wang

Dunia inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kibinadamu tangu mwisho wa vita kuu ya pili ya Dunia na inakadiriwa watu milioni 65 imewalazimu kuyakimbia makazi yao na kutawanyika duniani kote.


Jumapiili tarehe 16 hadi Jumamosi tarehe 22 mwezi huu wa sita, ni wiki ya wakimbizi (Refugee Week) nchini Australia.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni #Pamoja na Wakimbizi, wito wa kulinda usalama na haki za wakimbizi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service