Mpango wa Bima ya Ulemavu wa Taifa, au kwa kifupi NDIS, huwasaidia Waustralia ambao wana ulemavu wa kudumu na wenye kuhitaji zaidi msaada huu muhimu.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2016, NDIS imesaidia karibu watu elfu na hamsini elfu.
Lakini Waaustralia wengine kutoka asili za kiutamaduni na lugha mbalimbali wanaachwa nyuma.
Ili kupata maelezo zaidi juu ya NDIS, tembelea tovuti ya www.ndis.gov.au au piga simu namba 1800 800 110. Ikiwa unahitaji mkarimani kwanza piga simu kitengo cha utafsiri TIS kwa namba 13 14 50.
Share






