Mwongozo wa makazi: Kufilisika ni nini, na athari zake ni zipi?

bango la njia panda yakufilisika na ushauri

bango la njia panda yakufilisika na ushauri Source: AAP

Idadi ya Waaustralia walio kwenye shida za kifedha inaendelea kuongezeka hali ambayo inaleta maonyo ya kufilisika zaidi kwa wakati huu ambao uchumi wa taifa unazorota.


Je mtu anastahili kabiliana na madeni yasiyoweza dhibitiwa vipi?

Ushauri wa bure na wa siri kuhusiana na matatizo ya kifedha hutolewa na kitengo cha Msaada wa Deni la Taifa, na wataalamu wenye sifa ambao wanafanya kazi katika mashirika ya jamii kote Australia.

Wanapatikana kuanzia saa tatu na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni, Jumatatu hadi Ijumaa, na waweza kuwapigia kwa simu kwenye nambari 1800 007 007.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service