Je huduma ya likizo ni nini na, watoto wako wanawezaje shiriki katika michezo bila malipo?

Michezo ya nje

Watoto washiriki katika mchezo nje Source: Getty Images


Kuna shughuli nyingi ambazo hazi hitaji malipo karibu ya unako ishi, iwapo unajua sehemu yakutafuta shughuli hizo.

Kwa watu ambao hawa wezi pata likizo wanako fanya kazi, miradi ya huduma ya likizo kama, huduma yakitamaduni, mchezo kama tennis, kuogelea na sanaa inaweza kuwa jibu.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Je huduma ya likizo ni nini na, watoto wako wanawezaje shiriki katika michezo bila malipo? | SBS Swahili