Mwongozo wa makazi:Unachohitaji kujua kuhusu NBN

Rajav Kapil

NBN technician Rajav Kapil in front of an apartment block that has been connected to the National Broadband Network (NBN) in Brunswick, Melbourne. Source: AAP

Mtandao wa Broadband wa Taifa, au kwa kifupi NBN, ni njia mpya ya kuleta huduma ya internet na simu kwa wakazi wa Australia.


Kufikia mwaka wa 2020, nyumba nyingi na sehemu za biashara, zitakuwa zimeunganishwa na huduma hii.

Frank Mtao anatuangazia juu ya nini tunahitaji kujua na mpango upi wa huduma ni mzuri kabla ya kubadili na kuhamia mtandao huo wa NBN.

Kwa maelezo ya ziada kuhusu jinsi mtandao wa NBN unavyotolewa na wakati ambao utafika eneo unaloishi, tembelea tovuti hii: nbnco.com.au.

Kama una swali kuhusu mpango wa simu au internet, wasiliana na shirika unalotumia huduma zao za simu na internet au tafuta shirika tofauti.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service