Unastahili zingatia nini unapo panga kuhamia katika jimbo lingine?

Rental lease agreement

Source: Flickr

Kila mwaka, ma mia ya maelfu yawa Australia huhama kutoka majimbo wanako ishi kwa sababu za kazi, elimu, maisha, familia au msaada bora wa jamii.


Wakati sheria, kanuni na watoa hudma wanaweza tofautian kote nchini; orodha maalum inaweza saidia mchakato wako wakuhama kuwa rahisi zaidi.

Idadi ya watu wanao hamia katika majimbo mengine inaongezeka. Na watu walio zaliwa ng'ambo wana uwezekano mkubwa waku hama ndani ya nchi kuliko watu walio zaliwa nchini Australia, kwa mujibu wa Ofisi ya takwimu ya Australia.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service