Watch FIFA World Cup 2026™ LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"

Shakilah Wesonga afisa wa shirika la Rotary Safe Families.jpg

Shirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.


Shirika hilo lime tafsiri Mwongozo wakuzuia unyanyasaji wakifamilia nchini Australia katika lugha kadhaa kama; Kiswahili, Kiarabu, Farsi, Dari, kihindi, kigiriki, Mandarin na Kiingereza.

Lengo la tafsiri hizo nikutoa taarifa kwa jumuia zenye tamaduni tofauti nchini Australia ambazo Kiingereza ni lugha yao ya pili.

Shakilah Wesonga ni afisa kutoka shirika hilo la Rotary Safe Families. Ali fafanulia SBS Swahili aina ya huduma wanazo toa katika mahojiano maalum. Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za Rotary Safe Families bonyeza hapa: https://rotarysafefamilies.org.au/

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now