Madhumuni ya sherehe hizo ni kutoa shukrani za kipee kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwakifikisha hapa na kusherehekea kuwa wazima wa afya baada ya kuandamwa na janga hili na pia kuwaunganisha Waafrika wote kwa ujumla.
Pata kufahamu zaidi yaliyosemwa na Waratibu wa sherehe hizo kama walivyohojiwa na Mtayarishaji wetu FRANK MTAO