Simba wala Mbao
Wachezaji wa Mbao FC na Simba SC wakiwania mpira hewani Source: Picha:Goal Tanzania
Wakali wa soka ya Tanzania Simba SC wame ponea kichapo toka kwa wenyeji Mbao FC, katika mechi ya ligi ambayo mashabiki wa Mbao wame salia wakimlaumu mwamuzi wa mechi aliye ongeza dakika 7 na hapo kuipa Simba fursa yaku sawazisha nakushinda mechi hiyo kwa magoli 3-2. Bonyeza hapo juu usikie makala toka kwa mchambuzi wetu mkuu wa michezo Frank Mtao.
Share




